Tuesday, 18 June 2019

Mkurugenzi wa TGNp Mtandao


liliani Liumbi Mkurugenzi wa TGNP Mtandao ameitaka Serikali kufanya mabadiliko juu ya bajeti ulio wasilishwa na waziri wa fedha Phili Mpango ifanyiwe mabadiliko kwani haijafuata maswala ya kijinisia hususani swala la taulo la kujistili wanawake zimekuwa ni gharama kubwa amesema haya wakati wakusikiliza bajeti iliyokuwa inawasilishwa na waziri wa fedha posta jijini Dar es Salaam New Africa Hotel.

Habari Picha Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment