Tuesday, 4 June 2019
TPDC YAOKOA MABILIONI YA FEDHA
Shilika na Mafuta na Gesi TPDC imeweza kuokoa kiasi kikubwa cha fedha kilichokuwa kinatumika katika kuendeshea mitambo ya umeme baada ya kugundua visima vya gesi pia kinampango wa kutoa Bilioni Tisa kwa Serikali haya yote ni mafanikio yaliopatikana kwenye mika hamsini (50) ya TPDC.
Pichani Waziri wa Nisharti Medard Kalemani akimkabidhi zawadi waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Angellah Kairuki ambae alikuwa mgeni rasmi. Yaliyo fanyika Posta jijini Dar es salaam huku Mhe. Waziri Angellah Kairuki akiitaka TPDC kutobweteka na mafanikio waliyoyapata pia ameongezea kwa kuwataka waongeze maslayi ya wafanyakazi wao na waongeze kazi ya usambazaji wa mabomba ya gesi kwenye nyumba za watu na mikoa mengine.
Habari Picha
Ally Thabiti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment