Tuesday, 11 June 2019

WAZIRI WA TANZANIA KUJADILI MAMBO MAZITO YANAYOTIKISA NCHI NA ULIMWENGU


Waziri wa Katiba na Sheria Agostino Maige watajadili biashara ya madawa ya kulevya, Uwamiaji haramu na hutakatishaji wa fedha mipakaji kwenye ukumbi wa mwalimu nyerere posta Dar es salaam tarehe 12/06/2019.
Ambako chumbo kinacho shugulikia maswala haya kutoka kusini mwa Afrika kitashiriki na mgeni resmi atakuwa makamo wa Rais Mama Samia Suruhu Hassani pia watazungumzia jinsi ya kubadilishana walifu kutoka nchi moja kuja nchi nyingine.

Habari Picha na
Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment