TLHRDC YA WAONGEZEA CHACHU MAWAKILI
TLHRDC imekutana na baadhi ya mawakili ili kuwapa semina mawakili hao juu ya kuzijua sheria za uchaguzi na wakatikati hapo pichani ni Augustino Ramadhani ni jaji mkuu wa Tanzania mstaafu ambaye alikuwa mgeni na amewataka mawakili kusoma zaidi masuala ya sheria na kuto kata tamaa kwenye masomo ya yao na kwa shirika hilo kuwapa mafunzo.
naye mwanamama wa juu amewapongeza kwa kutoa mafunzo hayo kwa mawakili na yeye ni wakili pia na huyo kana wa mwisho ametoa elimu na ataenda kutoa elimu kwa ufasaha juu ya masuaka ya uchaguzi.
Habari picha na ALLY THABITI
|
No comments:
Post a Comment