Tuesday, 4 June 2019

MKUU WA IDARA WA MAZINGIRA WILAYA YA ILALA ATOA MANENO MAZITO


Mkuu wa idara ya Mazingira wilaya ya Ilala Mapunda amewataka wananchi wa wilaya ya Ilala kutotumia mifuko ya Plastiki na atakae kaidi sheria kali zitatumika zidi yake.
amesema haya kwenye kongamano la wadau wa mazingira lilofanyika kwenye hotel ya Pico jijini Dar es salaam, ambako ilijumuisha FORAM CC, wakandalasi wa uzoaji taka na wadau wengine pia ndugu mapunda amewataka wananchi wa Ilala kuchukua tahadhari dhidi ya wagonjwa wa Kipindupindu endapo mtu akakaidi atapigwa faini ya shilingi Laki Mbili mpaka sasa wangonjwa wa kipindupindu kumi na sita wamelipotiwa na mmoja amefaliki.

Nae naibu mea wa Ilala Omary Kumbilamoto amewatoa hufu wakandalasi wanaokusanya takataka Ilala na kiliochao cha kuongezewa mkataba kutoka mwaka iwe miaka mitatu mpaka mitano pia hataitisha mkutano kwa wakandalasi na madiwani na wataalamu wengine kwa ajili ya kuboresha na kukuza sekta ya uzoaji taka.

Habari Picha na '

Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment