Monday, 10 June 2019

JPM AMJULIA HALI MKE WA BABA WA TAIFA MAMA MARIA NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM.

Rais Dkt. John Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.
 
Rais Dkt. Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimuombea mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment