Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoriki John Kitima amewataka watanzania na wasio watanzania sawa pekee ya kukabiliana na homa ya mapafu (COLONA) kuzingatia kwanini,taratibu na sheria za Afya pia amewataka makanisa yote nchini huduma wanazozitoa wazingatie matumizi ya barakoa,kunawa mikono,kutumiavitakasa mikono na kukaamita moja moja
Habari na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment