Meneja wa TRA Mkoa wa Temeke Poo Wararaze amesema kuanzia tarehe 10mwezi3 2021 wameanza kutoa elimu kwa mlipa kodi kwenye Wilaya ya Temeke. Lengo kujenga mazingira rafiki kwa wafanya biashara wadogo, wakati na wakubwa waweze kulipa kodi kwa kiwango kikubwa.
Hii itasaidia katika ujenzi wa miundombinu mbalimbali Meneja wa TRA amesema kampeni ya Mlango kwa Mlango si kwaajili ya kuwakamata wafanya biashara na wawekezaji ndani ya Wilaya ya Temeke .
Hivyo amewataka wajitokeze kwa wingi na watoe ushirikiano kwa elimu inayotolewa ambako mwisho tarehe 26 mwezi3 2021 elimu hii itawafikia watu wenye Ulemavu Pia wameandaa vipeperushi vya Nukta Nundu am kwaajili ya wasio Ona . amesema haya kwenye Ofisi ya Wilaya ya Temeke jijini Dsm
Habari Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment