Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Serikari za Mitaa amesema wanaipongeza Manispaa ya Ilala kwa utelezaji madhubuti wa Miradi kwa Uaminifu,Uweledi na kwa Ubora mkubwa.
Ambako Miradi hii itasaidia kutatua changamoto za wana Ilala na watu wengine .pia italeta chachi ingine ya maendeleo na kuongezeka kwa kipato kwa watu Matharani Miradi wa Machinjio Vingunguti umeweza kukamilika kwa asilimia 95
Faida zitakazoopatikana kwenye Machinjio haya kupatikana kwa ajira zaid ya 3000 ,kuongezeka kwaa mapato ya kodi ndani ya Manispaa ya Ilala na kupatikana Nyama safi salama na yenye Ubora
Kiasi cha fedha bilioni12.49 zitakuwa zimewezesha kukamilika kwa Miradi hii nae Mkurugenzi wa Manispaa wa Ilala ndugu Juma ameipongeza Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Hesabu ya Kudumu ya Serikari za Mitaa kwa kuweza kutoa ushauri na maelekezo kwabaadhi ya Miradi yenye changamoto.
Ambako amesema mpaka sasa wametoka kiasi cha bilioni 11fidia kwa wananchi eneo la Limbanga kwaajili ya ujenzi wa barabara
Habari na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment