Doto Biteku Waziri wa Madini ameitaka TEITI kuweza kuwasaidia wachimbaji wadogo wa Madini kwa kutoa ripoti za kuwakwamuwa wachimbaji wadogo kuwa wakati na wakubwa
Waziri Doto Biteku ameitaka TEITI kuweza kujitangaza zaidi na kujenga mahusiano mazuri na taasisi zingine amesema haya kwenye Ofisi za Bunge posta jijini Dsm
Habari na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment