Mkuu wa Wilaya yaTemeke Godwini Gondwe amesema kampeni ya TRA ya Mlango kwa Mlango kwaajili ya kutoa elimu ya kuamasisha watu kulipa kodi ni mzuri kwani itasaidia kwa kiwango kikubwa kuwepo kwa mazingira wezeshi na rafiki kwa wawekezaji na wafanya biashara wadogo,wakati na wakubwa kuenddelea kufanya shughuri zao ndani ya Temeke na wengine kuvutiwa kuja kuwekeza Temeke . Pia kampeni hii ya TRA itasaidia katika ujenzi wa huduma za msingi ndani ya Temeke kutokana na pesa za walipa kodi mfano barabara,hospitali na miundombinu mingineyo . Mkuu wa Wilaya ya Temeke Godwini Gondwe ametoa wito kuwa TINI namba ni bure na wananchi waTemeke wawape ushirikiano Maafsa wa TRA
Habari na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment