Tuesday, 16 March 2021

MKURUGENZI WA JIJI LA DSM ANEWATOA OFU WATU WENYE UKEMAVU

 Jumanne Shauri Mkurugenzi wa Jiji la Dsm amesema Mradi wa ujenzi wa Machinjio ya Vingunguti na Miradi mingine ndani ya Jiji la Dsm swala la watu wenye Ulemavu kufika na kutumia ni rafiki kwao. 

Pia amesema kwenye ajira zaid ya 3000 watu wenye Ulemavu watapewa nafasi za ajira zinazowafaa na rafiki kwao ili waweze kujikwamuwa kimaisha na kiuchumi na wasiwe tegemezi katika familia zao na jamii zinazowazunguka 

Habari na Ally Thabiti  

No comments:

Post a Comment