Katibu wa Wachimbaji Madini Wadogo Tariki amesema wachimbaji wadogo wameweza kutoa bilioni 128 hivyo ameitaka TEITI washirikishe wachimbaji wadogo kikamilifu wanapoandaa ripoti zao ili wawasirishe keto na changamoto zinazo wakabili amesema haya kwenye Ofisi za Bunge posta jijini Dsm
Habari na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment