Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao Liliani Liundi amesema mfumo wa kanzi data kwa Wanawake viongozi utaanza kazi hivi karibuni pia wanawake wenye taaruma mbalimbali taaruma zao zitakuwepo kwenye data bezi .
Lengo watambilike na waweze kupata furusa mbalimbali za uteuzi program za kuwajenga Wanawake wataendelea kuzikusanya .Pia Ukungwi proglam hii imeleta chachi ya Wanawake kuwa viongozi
Mila na desturi potofu zipigwe vita na zitokomezwe amesema haya kwenye kongamano la Wanawake na Uongozi uliofanyika jijini Dsm posta
Habari na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment