Nikodemius Kajungu amesema kwanafasi yake ya Katibu Mkuu anasikitishwa na kuuzinishwa kiwango cha pesa wanacholipwa Wachimbaji Madini kwani ni kidogo na hakikidhi mahitaji yao.
Hivyo ameitaka TEITI kuandika ripoti za kutatua changamoto hii amesema haya kwenye Ofisi za Bunge posta jijini Dsm
Habari na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment