Taasisi ya Haki Elimu imezindua Mipango ya kuboresha Elimu ndugu Meena amewasilisha mapendekezo ya matumizi ya lugha,mabadiliko ya sera na maswala mengineyo yanayoushu Elimu
Habari picha na Ally Thabiti
Taasisi ya Haki Elimu imezindua Mipango ya kuboresha Elimu ndugu Meena amewasilisha mapendekezo ya matumizi ya lugha,mabadiliko ya sera na maswala mengineyo yanayoushu Elimu
Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Victoria Stanslaus
Pia amewataka Wanahabari watoe taarifa sahihi
Habari picha na Victoria Stanslaus
Mufuti ametoa wito kwa waislam na watanzania kipindi hili cha mwezi mtukufu wa ramadhani kuwaombea viongozi wetu wa nchi na kuiombea Amani iendelelee kuwepo Tanzania . amesema haya nyumbani kwake Magomeni Mikumi jijini Dsm wakati akiongea na Wanahabari .
Habari picha na Ally Thabiti
Namna ya kukabiliana na kujilinda na maswala ya Hali ya Hewa pia amesema wanna mipango wa kuwafikia watu wenye Ulemavu . Nae Chili Sangarugembe Principal Meteorologist amesema rasilimali watu ,uchache wa pesa,upungufu wa vifaa ni jambo ambalo linakwamisha vita ya kukabiliana na mabadiliko ya Hali ya Hewa Africa Mashariki picha ya changamoto hizi kazi kubwa unafanyika .amesema haya jijini Dsm
Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Victoria Stanslaus
Pia ndani ya TPSF kuna fursa mbalimbali ambazo zinapatikana Mbunge Koka amesema haya jijini Dsm wakati wa Uzinduzi wa kamati mbalimbali jijini Dsm
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Ally Thabiti
Pia amewataka wahandishi wa habari Wanawake na wasichana kutoa taarifa za ukatili wanaofanyiwa kwenye vyumba vyao vya habari , amesema haya jijini Dsm baada ya kupewa Tuzo na UNESCO
Habari picha na Victoria Stanslaus
Kasimu Ayubu amewataka watanzania kuwapeleka watoto wap madrasa ili waweze kujifunza kusoma kolohani ,pia Ameipongeza taasisi ya bi Aisha Suluhu kwa kuendesha mashindano haya ya 19 kwani yanawasaidia Vijana wengi. Kwa kumjua Mungu na kujikwamua kiuchumi .
Kasimu Ayubu amepata zawadi ya milioni 4 baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika kuifadhi kolohani .
Nae mgeni rasimi kwa niaba ya Waziri Mkuu naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo Habdallah Hamisi Ulega amewatoa hofu wale ambao wameshindwa wasikate tamaa ,pia anewapongeza washindi na waandaaji wa mashindano amesema haya kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dsm
Habari na Ally Thabiti
Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA ) kwa kudhirikiana na Friedrich Ebert Stiftung (FES) Kutokana na mabadiliko ya Tekinolojia wameamua kuja na kampeni maalum ya kupinga ukatili wa kijinsia unaofanywa mitandaoni(ZIMICA )
Kampeni hii ya mwezi 1 kuanzia mwezi 4 hadi 6 mwaka 2021 ,Inalenga kupinga vitendo vya ukatili na udhalilishaji dhidi ya Wanawake na watoto wa kike.
Ataivyo Roes Reuben Mkurigenzi wa Tamwa amesema ukatili wa kijinsia unaofanywa katika hali ya kudhuru mwili,vipigo,ubakaji,ulawiti,ukeketaji,ndoa za utotoni ,mimba za mapema,rushwa ya ngono na matusi .
Ukatili huu unafanyika kwa njia ya intranet kama fece book,whatsapp,instagram, you tubu na twitter
Ambako Takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaonyesha ongezeko kubwa la watumiaji wa intanet .ambako mwaka 2017 waliongezeka kwa asilimia 16 na kufikia 23 milioni na asilimia82 kati yao walitumia mitandao hivyo kwa njia ya simu .
Mala kadhaa tunaona video za utupu za Wanawake,watoto wa kike zinasambazwa kwa makusudi na video za ngono huu ni uzalilishaji unaofanywa mitandaoni ,udhalilishaji huu una madhara kisaikolojia na hata kupelekea kujiua na kupoteza mwelekeo wa maisha.
Roes Reuben Mkurigenzi wa Tamwa amesema nia ya TAMWA na FE S ni kuzuia ukatili na kuongeza uelewa kwa jamii na kujua madhara ya ukatili hasa kwa Wanawake na kujua mbinu za kuepuka udhalilishaji.
Zipo sheria zinazozuia ukatili mfano sheria ya maudhui ya mitandaoni (online content Regulation) inakataza kutoa na kurusha maudhui ya udhalilishaji unaokwenda kinyume na Tamaduni ya Mtanzania.
Kuendelea kwa ukatili huu pengine kwa waasirika kutofahamu sheria na au kuona aibu katika kuitafuta haki na hofu ya kuzalilika zaidi pindi kesi inapopelekwa mahakanani .
Tamwa wamesema ni vyema kujua kuwa udhalilishaji huu haukubaliki, ni muhimu kutambua kuwa zipo sheria zinazotulinda na muhimu kujua wapo wadau wanao weza kutusaidia.
Aidha kuna hadhabu kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii vibaya ikiwemo faini ya sh milioni 5 au kifungo kisichopungua miezi 12 au vyote kwapamoja . Tamwa wametoa wito kwa selikari na asasi za kiraia kuzungumzia madhara ya vitendo vya ukatili wa mitandaoni ,na kutoa elimu kwa jamiii na kwa kizazi cha sasa , kuusiana na madhara ya kuitumia mitandao ya kijamii kama njia ya kufanya vitendo vya ukatili wa kijinsia.
Pia Tamwa wametoa wito kwa jamii kuwa maswala ya ukatili wa kijinsia ni jukumu la kila mmoja wetu ,asasi za kiraia,madawati ya kijinsia,selikari,jeshi la polisi wasaidizi wa sheria na wasanii kukemea na kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia
Habari na Victoria Stanslaus
Standard Chartered Bank yapata wateja laki moja wenye akaunti. Ivyo wanatoa wito kwa watanzania na wasio watanzania kuitumia bank ya standard Chartered kwaajili ya usalama wa pesa zao
Jonita Malamba Mkuu wa kitengo cha Mausiano na Masoko wa Standard Chartered amesema wameamuwa kuwapeleka washindi watakao shinda kwenye shindano lao . Watakao pata pwenti 200 watapelekwa Wingereza eneo la Afridi kwenye klabu ya Riva pool kwaajili ya kujifunza mambo mbalimbali
Habari na Victoria Stanslaus
Meneja Masoko wa Kiwanda cha BORA amesema wataendelea kuzalisha kwa wingi Mifuko Mbadala amewataka watanzania na wasio watanzania kuitumia Kiwanda cha BORA kwa bidhaa mbalimbali
Kwani bidhaa zao ni nzuri na bora pia azichafui mazingira amesema haya kwenye wadau wa Mazingira na CTI
Habari na Ally Thabit
Mwenyekiti wa Chama cha CUF profesa Hiblaim Alina Lipumba wamemtaka rais Samia Suluhu Hasani kuondoa uminywaji wa demokrasia nchini,kuwepo kwa Tume huru ya Uchaguzi ,kuendeleza mchakato wa katiba mpya.
Pia wameikosoa taarifa ya C AJ kuwa nagari yalio nunuliwa yameandikwa kwa jina la Chama cha CUF. Pia Chama kinataka kuwepo na mikutano na maandamano .
Swala la kuachiwa kwa Muamsho litekelezwe Chama cha CUF kinasikitishwa na hali ngumu ya kimaisha .ambako kwa takwimu za Tanzania watu milioni 15 no masikini na takwimu za kidunia watu milioni 28 ni masikini .
Hivyo amemtaka rais wa Tanzania waweke mikakati mizito ya kupambana na umasikini nchini Tanzania
Habari na Victoria Stanslaus
Gadiel Msuya Ameipongeza Benk ya Maendeleo kwa kutoa mkopo wa bajaji kwa Vijana kwani itawasaidia kwa kiasi kikubwa katika kupata fedha za kujikimu kimaisha ivyo amewataka Vijana wengine kuchangamkia furusa za Benk ya Maendeleo
Pia ametoa wito kwa vipngozi wa Benk ya Maendeleo waendelee kufanya hivyo wanavyo fanya kwani kiwango cha asilimia 20 wanachochangia Vijana kwenye Benk ya Maendeleo kwaajili ya kupata mkopo wa bajaji no sawa
Habari na Victoria Stanslaus
Mkuu wa Idara ya Biashara Masoko Benk ya Maendeleo Himanueli Mwaya amesema richa ya kutoa Mkopo wa Bajaji150 . Pia Benk yao ya Maendeleo wanatoa Mikopo kwa Mamantilie
Ambako mpaka hivi sasa wameweza kuvifikia vikundi vingi vya Mama nitilie lengo kuu waweze kujikwamua kiuchumi iliwaingize vipato vyao wenyewe . Ametoa wito kwa jamii kuitumia Maendeleo ya Benk
Habari na Victoria Stanslaus
Joji Wandwalo Mkuu wa Idara uendeshaji Benk na Tehama amesema wameamua kutoa bajaji 150 kwa Vijana wa Kitanzania lengo la mkopo huu vijana waweze kujiajili wenyewe hili wajikwamuwe kiuchumi
Joji Wandwalo amewataka watanzania watumie Benk ya Maendeleo ili wapate furusa mbalimbali za mikopo
Habari na Victoria Stanslaus