Ally Posi amewataka wana habari kutoa habari zao zenye kujenga pia wazingatie Uweledi,Uadilifu na Uzarendo . Anewapongeza UNESCO kwa kutoa Tuzo kwa Wanahabari Wanawake kwani itawawezesha kufanya kazi kwa kasi na nguvu kubwa . Amesema haya jijini Dsm
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment