Wednesday, 14 April 2021

MAENDELEO BENK YAPEWA TANO

 Gadiel Msuya Ameipongeza Benk ya Maendeleo kwa kutoa mkopo wa bajaji kwa Vijana  kwani itawasaidia kwa kiasi kikubwa katika kupata fedha za kujikimu kimaisha ivyo amewataka Vijana wengine kuchangamkia furusa  za Benk ya Maendeleo 

Pia ametoa wito kwa vipngozi wa Benk ya Maendeleo waendelee kufanya hivyo wanavyo fanya kwani kiwango cha asilimia 20 wanachochangia  Vijana kwenye Benk ya Maendeleo kwaajili ya kupata mkopo wa bajaji no sawa 

Habari na Victoria Stanslaus 

No comments:

Post a Comment