Mbunge wa Kibaha ndugu Koka amewataka watanzania kujiunga na TPSF Lengo changamoto wanazokutana nazo kwenye Biashara zao ziwezwe kitatuliwa kwa wakati .
Pia ndani ya TPSF kuna fursa mbalimbali ambazo zinapatikana Mbunge Koka amesema haya jijini Dsm wakati wa Uzinduzi wa kamati mbalimbali jijini Dsm
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment