Joyce Mwaziri Mkurugenzi wa ITV amewataka Wanawake kujitokeza kwa wingi katika kusomea maswala ya wahandishi wa habari ili wapate sauti kwa kiwango kikubwa .
Pia amewataka wahandishi wa habari Wanawake na wasichana kutoa taarifa za ukatili wanaofanyiwa kwenye vyumba vyao vya habari , amesema haya jijini Dsm baada ya kupewa Tuzo na UNESCO
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment