Muhariri wa Gazeti la Jamuhuri Deodadisi Balile amesema kuwa Ibara ya 152 ya katiba ya tanzania aitoi fursa na nafasi kwa Wanahabari .ameitaka selikari kuweka mazingira rafiki na wezeshi kwa Wanahabari ili wafanye kazi zao kwa uhuru,Amani na usawa
Pia amewataka Wanahabari watoe taarifa sahihi
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment