Wednesday, 14 April 2021

BARAZA KUU LA CHAMA CHA CUF LATOA NENO ZITO

 Mwenyekiti wa Chama cha CUF profesa Hiblaim Alina Lipumba  wamemtaka rais Samia Suluhu Hasani kuondoa uminywaji wa demokrasia nchini,kuwepo kwa Tume huru ya Uchaguzi ,kuendeleza mchakato wa katiba mpya. 

Pia wameikosoa taarifa ya C AJ kuwa nagari yalio nunuliwa yameandikwa kwa jina la Chama cha CUF. Pia Chama kinataka kuwepo na mikutano na maandamano .

Swala la kuachiwa kwa Muamsho litekelezwe Chama cha CUF kinasikitishwa na hali ngumu ya kimaisha .ambako kwa takwimu za Tanzania watu milioni 15 no masikini na takwimu za kidunia watu milioni 28 ni masikini .

Hivyo amemtaka rais wa Tanzania waweke mikakati mizito ya kupambana na umasikini nchini Tanzania  

Habari na Victoria Stanslaus


No comments:

Post a Comment