James ni Mratibu mwandamizi anaesimamia maswala ya Hali ya Hewa Africa Mashariki amesema Kutokana na mabadiliko ya Hali ya Hewa wameamua kukutana kwaajili ya kuweka mipango mikakati kwaajili ya kuwasaidia watu wa Africa Mashariki.
Namna ya kukabiliana na kujilinda na maswala ya Hali ya Hewa pia amesema wanna mipango wa kuwafikia watu wenye Ulemavu . Nae Chili Sangarugembe Principal Meteorologist amesema rasilimali watu ,uchache wa pesa,upungufu wa vifaa ni jambo ambalo linakwamisha vita ya kukabiliana na mabadiliko ya Hali ya Hewa Africa Mashariki picha ya changamoto hizi kazi kubwa unafanyika .amesema haya jijini Dsm
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment