Kasimu Ayubu amewataka watanzania kuwapeleka watoto wap madrasa ili waweze kujifunza kusoma kolohani ,pia Ameipongeza taasisi ya bi Aisha Suluhu kwa kuendesha mashindano haya ya 19 kwani yanawasaidia Vijana wengi. Kwa kumjua Mungu na kujikwamua kiuchumi .
Kasimu Ayubu amepata zawadi ya milioni 4 baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika kuifadhi kolohani .
Nae mgeni rasimi kwa niaba ya Waziri Mkuu naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo Habdallah Hamisi Ulega amewatoa hofu wale ambao wameshindwa wasikate tamaa ,pia anewapongeza washindi na waandaaji wa mashindano amesema haya kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dsm
Habari na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment