Kama Inavyo Onekana Pichani hawa ni Wadau wanaopiga vita ugonjwa wa saratani wapo katika matembezi Lengo la matembezi haya kuhiasa jamii kujitokeza kufanya uchunguzi kwenye miili yao kama wana magonjwa ya saratani au dalili ili waanze tiba mapema kwani saratani inatibika ukiiwai .
Habari picha na Ally Thabit Mbungo
No comments:
Post a Comment