Saturday, 22 February 2025

MSANII JEYB AWATAKA WASANII KUMUUNGA MKONO RAIS DR SAMIA


 Barozi wa Chama cha Ccm Msanii Jeyb anawata wasanii nchini tanzania kujiunga na chama cha ccm na kumuunga mkono rais Dr Samia kwani ameweza kutekeleza kwa vitendo miradi yote ya kimkakati mfano ujenzi wa SGR  ,amewapa wasanii mikopo ya fedha ambayo aina riba bila kujali chama dini wala rangi na jinsia .

Barozi Jeyb amesema watafanya kampeni nchi nzima ya kuakikisha watu wanajiunga na chama cha ccm na rais Dr Samia  anashinda kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Habari picha na Ally Thabit 

No comments:

Post a Comment