Saturday, 8 February 2025

MKURUGENZI MKUU MTENDAJI WA HOSPITALI YA OCEANROAD CENCER INSTITUTE AMSHUKURU RAIS DR SAMIA

 Diwani Othman Msem Mkurunzi Mkuu Mtendaji wa Hospitali ya OCEAN ROAD CANCER INSTITUTE  anamshukuru rais Dr Samia  kwa kuweza kununua mashine mfano MRI na zinginezo kwaajili ya kufanya uchunguzi na tiba kwa nagonjwa ya saratani za aina zote . Pia anashuru kwa kuweza kutoa pesa nyingi kwaajili ya kununua dawa kwa wagonjwa wa saratani .

Mkurugenzi Mkuu Mtendaji  Diwani Othman Msem anawataka watu kufanya uchunguzi wa miili yao lengo wakugundulika na saratani waanze matibabu mapema  kwani saratani inatibika . Ameishukuru Gsm Foundation kwa jitihada kubwa wanazozifanya  za kuzibiti na kupambana ili kutokomeza saratani za aina zote kwa  kutoa michango ya pesa,mawazo,elimu na vitu mbalimbali kwa kushirikiana na hospitali ya Ocean road cancer Institute. 

Amesema haya siku ya saratani duniani kwenye hospitali  ya Ocean road cancer Institute ambapo uazimishwa kila ifikapo tarehe 4 ya mwezi wa 2 duniani kote . 

Habari na Ally Thabit 


No comments:

Post a Comment