Friday, 21 February 2025

WAZIRI WA KILIMO AZITAKA NCHI ZA AFRIKA KULETA MAGEUZI KWENYE ZAO LA KAHAWA

 Husen Bashe Waziri wa Kilimo anazitaka Nchi zote za bara la Afrika kuweka mkazo mkubwa kwenye zao la kahawa kwa kutenga bajeti za kutosha kwaajili ya kununua pembejeo,Kuweka program kwa wakulima wa kahawa ,Kuwatafutia masoko ya kimataifa na kuwawezesha teknolojia za kilimo amesema haya kwenye mkutano wa  3RD G25 African Coffee Summit 2025 unaofanyika jijini Dar es salaam. 

Habari na Ally Thabit 

No comments:

Post a Comment