Wednesday, 17 March 2021

BAKWATA YATETA NA WANAWAKE KUPITIA TGNP MTANDAO

 Hajati Shamimu Kani Mwenyekiti wa Wanawake kutoka Baraza la Kiislam Tanzania (BAKWATA) amewataka wanawake viongozi kushirikiana na Wanawake wengine katika kuwajengea uwezo wa Uongozi.

Pia wasikubali kukandamizwa na kunyonywa na mifumo dume na  wapige vita ndoa za utotoni,mimba za utotoni na aina zote za ukatili zinazojitokeza katika familia,Jamii,maofisini,masokoni na mahara popote 

Tukifanya hivi tutapata Wanawake wengi na bora katika nafasi za Uongozi. ametoa rai kwa wanaume kuwaunga mkono wake zao wanapowania nafasi za kazi na Uongozi .ameipongeza TGNP Mtandao kwa kuja na proglam ya kuwajengea uwezo Wanawake katika Uongozi 


Habari na Ally Thabiti

TGNP MTANDAO YAJA NA MAMBO MAZITO

 Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao Liliani Liundi amesema mfumo wa kanzi data kwa Wanawake viongozi  utaanza kazi hivi karibuni pia wanawake wenye taaruma mbalimbali taaruma zao zitakuwepo kwenye data bezi .

Lengo watambilike na waweze kupata furusa mbalimbali za uteuzi program za kuwajenga Wanawake wataendelea kuzikusanya .Pia Ukungwi proglam hii imeleta chachi ya Wanawake kuwa viongozi  

Mila na desturi potofu zipigwe vita na zitokomezwe amesema haya kwenye  kongamano la Wanawake na Uongozi uliofanyika jijini Dsm posta 

Habari na Ally Thabiti





ANA MAKINDA ATOA MAAGIZO MAZITO KWA TGNP

 Spika wa Bunge Mstaafu Ana Makinda ameutaka Mtandao wa kijinsia (TGNP Mtandao ) kuweka mifumo ya kanzi data ya Wanawake  viongozi.  Pia wawajengee uwezo watoto wa kike kuanzia shule ya msingi .

 Ametoa wito kwa wanawake viongozi kuwa nafasi walizozipata wazitumie vizuri na wazitendee haki waepuke na maswala ya Ufisadi wawe wahadirifu ,Uaminifu na waweze kutatua changamoto za kijamii.

Uku akiwataka watunga  sera na wapanga bajeti wazingatie usawa wa kijinsia na ameipongeza TGNP Mtandao kwa kuwajengea uwezo Wanawake viongozi 

Habari na Ally Thabiti

Tuesday, 16 March 2021

MANSIPAA YA KINONDONI KUTOA MAPFEDHA KWA WANACHI

 Afisa Maendeleo Jamii Mansipaa ya Kinondoni Wametoka fedha na watazidi kutoa fedha za Mikono bila riba kwa wanawake,vijana na watu wenye Ulemavu kwaajili ya kufanya biaahara .

Lengo la Mansipaa kutekeleza kwa vitendo sheria ya asilimia 10 Mansipaa zote zinatakiwa kufanya hivyo. Afisa Maendeleo Kinondoni amesema kiasi cha pesa Milioni mia 600 watapewa watu wenye Ulemavu

Habari na Ally Thabiti

MKURUGENZI WA JIJI LA DSM ANEWATOA OFU WATU WENYE UKEMAVU

 Jumanne Shauri Mkurugenzi wa Jiji la Dsm amesema Mradi wa ujenzi wa Machinjio ya Vingunguti na Miradi mingine ndani ya Jiji la Dsm swala la watu wenye Ulemavu kufika na kutumia ni rafiki kwao. 

Pia amesema kwenye ajira zaid ya 3000 watu wenye Ulemavu watapewa nafasi za ajira zinazowafaa na rafiki kwao ili waweze kujikwamuwa kimaisha na kiuchumi na wasiwe tegemezi katika familia zao na jamii zinazowazunguka 

Habari na Ally Thabiti  

BARAZA LA MAASKOFU LAJA NA DAWA YA COLONA

 Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoriki  John Kitima amewataka watanzania na wasio watanzania sawa pekee ya kukabiliana na homa ya mapafu (COLONA) kuzingatia kwanini,taratibu na sheria za Afya pia amewataka makanisa yote nchini huduma wanazozitoa wazingatie matumizi ya barakoa,kunawa mikono,kutumiavitakasa mikono na kukaamita moja moja


Habari na Ally Thabiti











 

KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA KUDUMU ZA SERIKARI ZA MITAA YAIPONGEZA MANSPAA YA ILALA ZA

 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Serikari za Mitaa  amesema wanaipongeza Manispaa ya Ilala kwa utelezaji madhubuti wa Miradi kwa Uaminifu,Uweledi na kwa Ubora mkubwa. 

Ambako Miradi hii itasaidia kutatua changamoto za wana Ilala na watu wengine .pia italeta chachi ingine ya maendeleo na kuongezeka kwa kipato kwa watu Matharani Miradi wa Machinjio Vingunguti umeweza kukamilika kwa asilimia 95 

Faida zitakazoopatikana kwenye Machinjio haya kupatikana kwa ajira zaid ya 3000 ,kuongezeka kwaa mapato ya kodi ndani ya Manispaa ya Ilala na kupatikana Nyama safi salama na yenye Ubora 

Kiasi cha fedha bilioni12.49 zitakuwa zimewezesha kukamilika kwa Miradi hii nae Mkurugenzi wa Manispaa wa Ilala ndugu Juma ameipongeza Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Hesabu ya Kudumu ya Serikari za Mitaa kwa kuweza kutoa ushauri na maelekezo kwabaadhi ya Miradi yenye changamoto. 

Ambako amesema mpaka sasa wametoka kiasi cha bilioni 11fidia kwa wananchi eneo la Limbanga  kwaajili ya ujenzi wa barabara 

Habari na Victoria Stanslaus