Tuesday, 19 September 2017

SWISSPORT YAJA KUONDOA MATATIZO YA MIZIGO

Meneja mafunzo wa  SWISSPORT SIE KISAI  amewataka watanzania waitumie kampuni yao katika kusafirisha mizigo mbalimbali kwaajili ya usalama na kufika kwa wakati kwa mizigo yao . Lengo la wao kuja tanzania kuondoa na kutatua matatizo ya usafirishaji wa mizigo

habari picha na  ALLY THABITI

FASTJET YAJA KIVINGINE

Meneja masoko wa FASTJET CHRISTINA JOSEFU                  amewataka watanzania watumie shirika la FASTJET kwani huduma zao ni bora na nzuri zaidi na gharama zao ni nafuu zinapatikana kwa shilingi 79000 Mwanza Dar na mikoa mingine ya Tanzania

abari picha na  VICTORIA STANSLAUS

WADAU WATAKIWA KUIOKOA SEKTA YA ANGA

Mkurugenzi mkuu wa shirika la ndege Tanzania LADISLAUS E. MATINDI amezitaka taasisi mbalimbali ziweze kuwawezesha wanafunzi kipesa ili wamudu masomo ya urubani ili tuwe na marubani wengi . ametoa rai kwa jamii wawaimize vijana wao wapende masomo ya urubani

habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

VITA KALI ATANGAZA MWENYEKITI WA CCM

Mwenyekiti wa jumuia ya wazazi  CCM Taifa ABDALA BULEMBO amesema tarehe 21 na 23 mwezi 9/2017 uchaguzi wa jumuia ya wazazi unaanza rasmi kwenye ngazi za wilaya. amewataka wagombea kufuata kanuni,taratibu na sheria zote za chama cha mapinduzi CCM . ametoa wito kwa wagombea kufanya kampeni za kistaarabu

habari picha na  ALLY THABITI

VIJANA WATAKIWA KUWA CHACHU YA MAENDELEO

WALENI BRAITONI  wa UNFPA  amewataka vijana wa kitanzania washiriki kikamilifu kwenye miradi mbalimbali  lengo wapate maendeleo ya kiuchumi  wao na Taifa kwa ujumla amesema  haya kwenye mkutano wa siku1 uliojumuisha vijana na wana habari  kwenye hotel ya protea eneo la upanga jijini  Dar es salaam

habari picha na  ALLY THABITI

VIJANA WAPONGEZWA

Meneja miradi wa  AMOA amewapongeza vijana wa kitanzania kwa kuweza kuchangamkia miradi mbalimbali .Pia amewapongeza wana habari kwa kutoa taarifa za miradi kwa wakati  amesema haya  kwenye mkutano wa siku1 uliofanyika kwenye hotel ya protea eneo la upanga jijini Dar es salaam

habari picha na  ALLY THABITI

WANAKE WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA

RAITINESI DANIELI  amewataka wanawake wa kitanzania waweze kuchangamkia fursa za kibiashara zilizopo nchini  Tanzania na nje ya nchi yeye anatengeneza Sabuni za kunawia mikono pamoja na shampuu ametoa rai kwa mabenki waweze kuwakopesha wanawake kwa riba nafuu na kwa masharti nafuu

habari picha na  VICTORIA STANSLAUS