Meneja masoko wa FASTJET CHRISTINA JOSEFU amewataka watanzania watumie shirika la FASTJET kwani huduma zao ni bora na nzuri zaidi na gharama zao ni nafuu zinapatikana kwa shilingi 79000 Mwanza Dar na mikoa mingine ya Tanzania
abari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment