Kaimu mwenyekiti wa ALAT Taifa STIVINI PITA amesema halmashauri zote nchini zitenge ardhi kwaajili ya viwanda vidogovidogo lengo kumuunga mkono rais MAGUFULI katika kuelekea Tanzania ya viwanda .Pia ardhi ni chachu ya maendeleo amesema haya jijini Dar es salaam wakati wa kutangaza kuwa tarehe2 na 5 mwaka2017 utafanyika mkutano mkuu wa therathini 33 wa ALAT jijini MBEYA .ambako mgeni rasmi atakuwa rais MAGUFULI lingo la mkutano kuweka mikakati ya elfumbili 2017 na 2018 . Kauli mbiu ya mkutano huu Ardhi ni chachu ya maendeleo na halmashauri zitenge ardhi kwaajili ya viwanda vidogo vidogo .Kaimu mwenyekiti STIVINI PITA wa ALAT ameishukuru benki ya NMB kwa kuwapa cheki ya shilingi milioni 100
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment