Tuesday, 5 September 2017

WAKIMBIZI WA BURUNDI KULEJEA MAKWAO

Waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania MWIGULU  MCHEMBA  amesema tarehe7/9/2017 Awamu ya kwanza ya wakimbizi watasafirishwa nchini BURUNDI mpaka sasa wakimbizi elfu12 wamejiandikisha kwa iyari yao lengo walejee makwao

habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment