Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania [TFF] WALLACE KARIA amewataka wadhamini mbalimbali wajitokeze kwa wingi kuidhamini na kufadhili mchezo wa mpira wa miguu hapa Tanzania. Lengo kuinua na kukuza vipaji kwa vijana wanaocheza mpira wa miguu nchini Tanzania na kuwaakikishia ajira ya kudumu na atimae itasaidia kukuwa kwa uchumi. Pia amewatoa ofu na mashaka pindi wakavyotoa fedha zao za ufadhiri na udhamini .amesema haya wakati wa kutilia saini na benki ya KCB kwenye hotel ya Serena jijini Dar es salaam
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment