Kaimu mkurugenzi mtendaji wa tume ya kudhibiti ukimwi Tanzania JUMANNE amesema mkoa wa Njombe ,Iringa na Mbeya ni mikoa inayoongoza kwa kiasi kikubwa katika maambukizi ya Ukimwi Tanzania . Ivyo amesema zinaitajika jitiada za makusudi katika kuondoa maambukizi ya Ukimwi kwa mikoa hii na mingine . lengo kuokoa vizazi vinavyokufa na ugonjwa wa Ukimwi. ameipongeza mikoa ya Tanga, Rindi na Mtwara kwa kuwa na kiwango kidogo sana cha maambukizi ya Ukimwi
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment