Mkurugenzi JUJI BUCHAFI wa kampuni ya STAR NATURAL PRODUCTS LMD amesema wametengeneza mashine ya kutengeneza sabuni kwa kushirikiana na Sido lengo kuwawezesha wanawake waw wajasilia mali na wafanya kazi wa kutengeneza sabuni ili wajikwamue kiuchumi ametoa rai kwa wanawake wasikate tamaa na wasibweteke pia wanamuunga mkono rais MAGUFULI kuelekea Tanzania ya viwanda kwa kuleta mashine rafiki amesema haya kwenye viwanja vya TGNP mabibo jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment