Meneja wa benki ya NMB RICHADI MAKUNGWA amesema watazidi kuisaidia jumuia ya tawara za mitaa Tanzania [ ALAT] . lengo iweze kutatua changamoto zinazo wakabili amesema haya kwenye ofisi za ALAT baada ya kuwakabidhi viongozi wa ALAT cheki ya shilingi milioni 100 kwaajili ya kuwezesha kufanyika kwa mkutano mkuu wa ALAT . tarehe 2 na 5 mwezi wa kumi mwaka 2017 jijini MBEYA. meneja wa NMB amesema watazidi kuifadhiri na kuidhamini ALAT
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment