Kiongozi wa sekta binausi JEMES SIMBEYI ameiambia seikali ikitaka kufanikiwa kuelekea Tanzania ya viwanda na uchumi wa kati ihakikishe inatengeneza miundombinu ya usafirishaji kwenye majiji ya Tanzania . Pia amesema shirika la Tazara likiboleshwa kikamilifu litasaidia kukuza uchumi wa Tanzania . ametoa wito kwa wadau wa sekta binausi kushiriki kwenye mikutano ya kimataifa lengo kuchangamkia fursa zinazojitokeza . amesema haya kwenye mkutano wa siku mbili ulio wajumuisha wadau wa mataifa mbalimbali Duniani jijini Dar es salaam KILIMANJARO hotel
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment