GRESI MUSA kutoka shirika la KIVULINI linalojiusisha na utetezi wa ukatili wa kijinsia kwa mwanamke na mschana amesema wanawapongeza wakazi wa kanda ya ziwa kwa kuwa wana mabadiliko wa ukweli katika kupinga maswala ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake, waschana na watoto hii inatokana baada ya kuwapa elimu na mafunzo yanayousu ukatili wa kijinsia jinsi ulivyokuwa na madhara makubwa kwenye jaamii miongoni mwa ukatili ni ukatili wa kimwili, kiisia, kingono na kiuchumi hivi ndivyo shirika la KIVULINI linavyopinga vikali Tangu kuanzishwa mwaka1999 jijini Mwanza eneo la NYAMONGOLO na sasa wameweza kufika mkoa wa Shinyanga ,Geita na Mara pia wanatoa msaada wa kisheria bule na wanatoa mafunzo kwa viongozi wa serikali za mitaa ametoa rai kwa watanzania waungane katika kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia lengo ni kumkomboa Mwanamke na Mschana ili waweze kujikwamua kiuchumi GRESI MUSA amesema haya kwenye viwanja vya TGNP eneo la mabibo jijin Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment