Makamu wa rais wa Tanzania SAMIA SURUU HASANI amewataka wanawake wenye uwezo wawainue wenzao katika shuuri mbalimbali zikiwemo za biashara lengo waweze kujikwamuwa kiuchumi pia amewataka walezi na wazazi kuwaimiza watoto wa kike wasome kwa bidii lengo wawe na uwezo wa kuchangamkia fursa mbalimbali pia amezitaka halmashauri zote hapa nchini zitenge asilimia 5 kwaajili ya kina mama ametoa rai kwa kina mama fedha hizi watumie katika kutatuwa changamoto zao na si kununua kanga,madera na vijora hamesema haya kwenye viwanja vya TGNP eneo la mabibo jijini Dar es salaam kwenye Tamasha la SIKU3 kuanzia tarehe5/9/2017 na kumalizika tarehe8/9/2017
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment