Afsa tawara kutoka ofisi ya mkuu wa wilaya ya Ilala JABRI OMARI MAKAME amesema wameamuwa kuja na mikakati ya kudhibiti uchafuzi wa hewa kwa kutenga eneo la kuvutia sigara lililopo viwanja vya Mnazi mmoja .pia wanatoa elimu kwa jamii jinsi gani ya kutunza mazingira .amesema haya kwenye uzinduzi wa siku ya Afya ya mazingia ambako kauli mbiu inasema dhibiti uchafuzi wa hewa kwa Afya ya jamii
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment