ERICK SHIGONGO amesema vijana wa kitanzania wamekuwa wavivu na wazito katika kujifunza maswala ya kitecnorojia na kusoma vitabu mbalimbali. ndio maana wanashindwa kujikwamuwa kiuchumi amesema haya siku ya kuwakutanisha wanafunzi wa secondary sent JOSEPH kwenye viwanja vya KARIM JEE ametoa rai kwa wanafunzi wa sent JOSEPH na Tanzania kwa ujumla wasikate tamaa na wasibweteke
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment