Meneja wa kampuni ya EFA PITA SRIVESTA amewataka wanawake wa kitanzania wawe chachu ya maendeleo katika jamii na Taifa kwa kuweza kufanya biashara za mafuta ya kujipaka ya asili yakiwemo mafuta yatengenezwayo kwa kitunguu thaumu ,mafuta ya nazi na shampuu za muarovera imewapa nafasi kubwa wanawake kwa jumla na rejareja lengo kujikwamua kiuchumi na kunawilisha ngozi zao amewaasa wanawake wasikate tamaa na watumie bidhaa za kampuni ya EFA PITA SRIVESTA amesema haya kwenye viwanja vya TGNP mabibo jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment