Wednesday, 6 September 2017

JOBU MLUGAI AFAI NA HATOSHI KUWA SPIKA WA BUNGE TANZANIA

Chama cha wananchi CUF kimesema JOBU MLUGAI  afai na hatoshi kuwa spika wa bunge Tanzania baada ya kuwaapisha wabunge8 wanao muunga mkono prof LIPUMBA  Wakati mahakama ya rufaa ikitoa zuio la kuapishwa wabunge hao hataivyo chama cha wananchi CUF kimekilaani vikali chama cha CCM  kwa kuusika waziwazi na kuwa chanzo cha mgogoro unaoendelea kwenye chama cha CUF haya yamesemwa na naibu mkurugenzi wa habari na mawasiliano wa chama cha CUF ametoa wito kwa wanachama na viongozi wa chama cha  CUF  kutoshirikiana nao kwa lolote wabunge feki walioapishwa na spika wa bunge wa Tanzania na wamemtaka spika wa bunge ajiondoe kwenye nafasi ya  uspika wa bunge la Tanzania

habari picha na  ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment