Tuesday, 5 September 2017

MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA ATOA BARAKA

Makamu wa rais wa Tanzania SAMIA SURUU HASANI ametoa baraka kwa kukata utepe kuashiria ufunguzi wa Tamasha la kijinsia la siku3 kuanzia tarehe 5/hadi tarehe 8ya mwezi wa  
 2017 kwenye viwanja vya TGNP amefungua rasmi

habari picha na VICTORIA STANSLAUS

No comments:

Post a Comment