Mwanasheria kutoka kituo cha msaada WLAC VIVIANI KWEKA amwesema wameamua kutoa huduma ya msaada wa kisheria bule kwa wanawake wasio jiweza yaani bule . Lengo kumkomboa na kumuokoa mwanamke katika kupata haki zake mahakamani .ameitaka jamii itambue kuwa mwanamke ana mapungufu yeyote
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment