Mwenyekiti wa bodi wa shirika la posta Tanzania amesema wameweza kulizinduwa na kulifufua upya shirika la posta kwa kuondoa watumishi hewa na mishaara hewa na kuweka kiasi cha bilioni4 kwenye akauti ya shirika ambako apo awali shilrika alikuwa na pesa yeyote
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment