Tuesday, 19 September 2017

VITA KALI ATANGAZA MWENYEKITI WA CCM

Mwenyekiti wa jumuia ya wazazi  CCM Taifa ABDALA BULEMBO amesema tarehe 21 na 23 mwezi 9/2017 uchaguzi wa jumuia ya wazazi unaanza rasmi kwenye ngazi za wilaya. amewataka wagombea kufuata kanuni,taratibu na sheria zote za chama cha mapinduzi CCM . ametoa wito kwa wagombea kufanya kampeni za kistaarabu

habari picha na  ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment