ABDALLAH NGARAWA kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania [TCRA] amesema mwana habari yeyote ambae atatoa habari za uchochezi atachukuliwa hatuwa za kisheria .pia amewataka wanahabari waandike habari zao kwa staa.amewaasa wanahabari kutokubali kutumika katika kuvuluga amani nchini Tanzania amesema haya kwenye ukumbi wa mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam uliopo posta
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment