Kiongozi MERI LUSIMBI kutoka shirika la WOMEN FOUND TANZANIA ameitaka serikali itenge bajeti ya kutosha na yenye tija kwa wanawake .lengo wanawake waweze kushiliki kikamirifu katika maendeleo ya nchi na kukuza uchumi wa Taifa la Tanzania.MERI LUSIMBI amezitaka asasi za kiraia ziwawezeshe wanawake kwa kuwapa rasilimali fedha,ujuzi na kuwawezesha uzoefu wa kitaalam na kuwaunganisha na watu mbalimbali wenye ujuzi ili wapige atuwa kwaniwakifanya hivi maswala ya ukatili wa kijinsia yatapungua na kutokomea kwa kiasi kikubwa .ametoa wito kwa jamii ususani kwa wanaume waliopo kwenye jamii na serikali kuungana pamoja katika kupiga vita ukatili wa kijinsia kwa wanawake na makundi mengine
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment